← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 136:1
Mbona Mungu ananipenda?
Siku 5
Maswali: Ikija kwa Mungu, tuna maswali mengi sana. Kwa sababu ya tamaduni zetu, swali moja ambalo tutajipata tukijiuliza ni, "Mbona Mungu ananipenda?" au "Ni vipi atanipenda?" Mpango huu unashirikisha jumla ya vifungu 26 vya Biblia—Kila kifungu kikiongea juu ya upendo wa Mungu usiokuwa na shaka.