Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 46:1
![Msingi Wa Mungu Usiotikisika](/_next/image?url=https%3A%2F%2F%2F%2Fimageproxy.youversionapistaging.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans-staging%2F51760%2F640x360.jpg&w=1920&q=75)
Msingi Wa Mungu Usiotikisika
4 Siku
Tunapofikiria hali ya dunia tunayoishi ndani yake, mahali vita na migogoro vinaonekana kutawala kila kituo cha habari, majanga ya asili yanawakumba watu duniani na mahali ambapo mahusiano yaliyo vunjika ni ya kawaida ndani ya jamii, tunatazama Zaburi 46, inayotupa ujasiri kwamba Mungu ndiye msingi usiotikisika katika mazingira yoyote. Tunabadilika, mazingira yetu yanabadilika, lakini Mungu wetu habadiliki.
![Huzuni](/_next/image?url=https%3A%2F%2F%2F%2Fimageproxy.youversionapistaging.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans-staging%2F119%2F640x360.jpg&w=1920&q=75)
Huzuni
Siku 7
Unyogovu unaweza kuleta mtu yeyote wa umri wowote kwa idadi yoyote ya sababu. Mpango huu siku saba atawaongoza kwa Mshauri. Utulivu akili na moyo wako kama wewe kusoma Biblia na utagundua amani, nguvu, na upendo wa milele.
![Soma Biblia Kila Siku 12/2024](/_next/image?url=https%3A%2F%2F%2F%2Fimageproxy.youversionapistaging.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans-staging%2F52912%2F640x360.jpg&w=1920&q=75)
Soma Biblia Kila Siku 12/2024
31 Siku
Soma Biblia Kila Siku 12/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Kumi na mbili pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na Waebrania. Karibu kujiunga na mpango huu