← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 12:13

Kuiishi Haki Kutajirishwa
21 Siku
Mpangilio wa tafakari za maandiko za kila kuwezeshwa siku na changamoto za kuiishi haki yameandikwa na wanawake kutoka kote katika jeshi la wokovu duniani.

Soma Biblia Kila Siku /Novemba 2023
Siku 29
Soma Biblia Kila Siku /Novemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Novemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Kutoka na Warumi. Karibu kujiunga na mpango huu