1
1 Yohana 1:9
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Tukiziungama dhambi zetu, yeye ni mwaminifu na wa haki, atatusamehe dhambi zetu na kutusafisha kutokana na udhalimu wote.
Linganisha
Chunguza 1 Yohana 1:9
2
1 Yohana 1:7
Lakini tukienenda nuruni, kama yeye alivyo nuruni, twashirikiana sisi kwa sisi na damu yake Isa, Mwana wake, yatusafisha dhambi yote.
Chunguza 1 Yohana 1:7
3
1 Yohana 1:8
Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe wala kweli haimo ndani yetu.
Chunguza 1 Yohana 1:8
4
1 Yohana 1:5-6
Huu ndio ujumbe tuliosikia kutoka kwake na kuwatangazia ninyi: kwamba Mungu ni nuru na ndani yake hamna giza lolote. Tukisema kwamba twashirikiana naye huku tukienenda gizani, twasema uongo, wala hatutendi lililo kweli.
Chunguza 1 Yohana 1:5-6
5
1 Yohana 1:10
Tukisema hatujatenda dhambi, twamfanya yeye kuwa mwongo na neno lake halimo ndani yetu.
Chunguza 1 Yohana 1:10
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video