1
1 Yohana 5:14
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Huu ndio ujasiri tulio nao tunapomkaribia Mungu, kwamba tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.
Linganisha
Chunguza 1 Yohana 5:14
2
1 Yohana 5:15
Nasi kama tunajua atusikia, lolote tuombalo, tunajua kwamba tumekwisha kupata zile haja tulizomwomba.
Chunguza 1 Yohana 5:15
3
1 Yohana 5:3-4
Huku ndiko kumpenda Mungu, yaani kuzitii amri zake. Nazo amri zake si nzito. Kwa maana kila aliyezaliwa na Mungu huushinda ulimwengu. Huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, yaani hiyo imani yetu.
Chunguza 1 Yohana 5:3-4
4
1 Yohana 5:12
Aliye naye Mwana wa Mungu anao uzima, yeye asiye na Mwana wa Mungu hana uzima.
Chunguza 1 Yohana 5:12
5
1 Yohana 5:13
Nawaandikia mambo haya ninyi mnaoliamini Jina la Mwana wa Mungu ili mpate kujua ya kuwa mnao uzima wa milele.
Chunguza 1 Yohana 5:13
6
1 Yohana 5:18
Tunajua ya kuwa yeye aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, bali aliyezaliwa na Mungu hujilinda, wala yule mwovu hawezi kumdhuru.
Chunguza 1 Yohana 5:18
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video