1
Isaya 27:1
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Katika siku ile, BWANA ataadhibu kwa upanga wake, upanga wake mkali, mkubwa na wenye nguvu; ataadhibu Lewiathani yule nyoka apitaye kwa mwendo laini, Lewiathani yule nyoka mwenye kujipinda; atamuua yule mnyama mkubwa wa baharini.
Linganisha
Chunguza Isaya 27:1
2
Isaya 27:6
Katika siku zijazo, Yakobo atatia mizizi, Israeli atatoa chipukizi na kuchanua maua, naye atajaza ulimwengu wote kwa matunda.
Chunguza Isaya 27:6
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video