1
Yeremia 13:23
Neno: Bibilia Takatifu
Je, Mkushi aweza kubadili ngozi yake au chui kubadili madoadoa yake? Vivyo hivyo nawe huwezi kufanya mema wewe uliyezoea kutenda mabaya.
Linganisha
Chunguza Yeremia 13:23
2
Yeremia 13:16
Mpeni utukufu BWANA Mungu wenu, kabla hajaleta giza, kabla miguu yenu haijajikwaa juu ya vilima vitakavyotiwa giza. Mlitarajia nuru, lakini ataifanya kuwa giza nene na kuibadili kuwa huzuni kubwa.
Chunguza Yeremia 13:16
3
Yeremia 13:10
Watu hawa waovu, wanaokataa kusikiliza maneno yangu, wafuatao ukaidi wa mioyo yao na kufuata miungu mingine kuitumikia na kuiabudu, watakuwa kama mkanda huu ambao haufai kabisa!
Chunguza Yeremia 13:10
4
Yeremia 13:15
Sikieni na mzingatie, msiwe na kiburi, kwa kuwa BWANA amenena.
Chunguza Yeremia 13:15
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video