1
Ayubu 22:21-22
Neno: Bibilia Takatifu
“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia. Uyapokee mafundisho toka kinywani mwake, na maneno yake uyaweke moyoni mwako.
Linganisha
Chunguza Ayubu 22:21-22
2
Ayubu 22:27
Utamwomba yeye, naye atakusikia, nawe utazitimiza nadhiri zako.
Chunguza Ayubu 22:27
3
Ayubu 22:23
Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako
Chunguza Ayubu 22:23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video