1
Ayubu 27:3-4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu, nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu, midomo yangu haitanena uovu, wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu.
Linganisha
Chunguza Ayubu 27:3-4
2
Ayubu 27:6
Nitadumisha haki yangu wala sitaiacha; dhamiri yangu haitanisuta muda wote ninaoishi.
Chunguza Ayubu 27:6
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video