1
Malaki 2:16
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Ninachukia kuachana,” asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, “pia nachukia mtu anayejivika jeuri kama vazi,” asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni. Kwa hiyo jihadharini wenyewe katika roho zenu, wala msije mkavunja uaminifu.
Linganisha
Chunguza Malaki 2:16
2
Malaki 2:15
Je, Mwenyezi Mungu hakuwafanya wao kuwa mmoja? Katika mwili na katika roho wao ni wa Mungu. Kwa nini wawe mmoja? Kwa sababu Mungu alikuwa akitafuta mzao mwenye kumcha Mungu. Kwa hiyo jihadharini wenyewe katika roho zenu, mtu asivunje uaminifu kwa mke wa ujana wake.
Chunguza Malaki 2:15
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video