1
Zaburi 105:1
Neno: Bibilia Takatifu
Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake, wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda.
Linganisha
Chunguza Zaburi 105:1
2
Zaburi 105:4
Mtafuteni BWANA na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote.
Chunguza Zaburi 105:4
3
Zaburi 105:3
Lishangilieni jina lake takatifu, mioyo ya wale wamtafutao BWANA na ifurahi.
Chunguza Zaburi 105:3
4
Zaburi 105:2
Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, waambieni matendo yake yote ya ajabu.
Chunguza Zaburi 105:2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video