1
Zaburi 135:6
Neno: Bibilia Takatifu
BWANA hufanya lolote apendalo, mbinguni na duniani, katika bahari na vilindi vyake vyote.
Linganisha
Chunguza Zaburi 135:6
2
Zaburi 135:3
Msifuni BWANA, kwa kuwa BWANA ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza.
Chunguza Zaburi 135:3
3
Zaburi 135:13
Ee BWANA, jina lako ladumu milele, kumbukumbu za fahari zako, Ee BWANA, kwa vizazi vyote.
Chunguza Zaburi 135:13
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video