1
Zaburi 96:4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mkuu mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote; yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote.
Linganisha
Chunguza Zaburi 96:4
2
Zaburi 96:2
Mwimbieni Mwenyezi Mungu, lisifuni jina lake; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.
Chunguza Zaburi 96:2
3
Zaburi 96:1
Mwimbieni Mwenyezi Mungu wimbo mpya; mwimbieni Mwenyezi Mungu dunia yote.
Chunguza Zaburi 96:1
4
Zaburi 96:3
Tangazeni utukufu wake katika mataifa, matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote.
Chunguza Zaburi 96:3
5
Zaburi 96:9
Mwabuduni Mwenyezi Mungu katika uzuri wa utakatifu wake; dunia yote na itetemeke mbele zake.
Chunguza Zaburi 96:9
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video