1
Ufunuo 20:15
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Iwapo mtu yeyote jina lake halikuonekana katika kile kitabu cha uzima, alitupwa ndani ya lile ziwa la moto.
Linganisha
Chunguza Ufunuo 20:15
2
Ufunuo 20:12
Nami nikawaona wafu, wakubwa na wadogo, wakiwa wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi na vitabu vikafunguliwa. Pia kitabu kingine kikafunguliwa ambacho ni kitabu cha uzima. Hao wafu wakahukumiwa sawasawa na matendo yao kama yalivyoandikwa ndani ya hivyo vitabu.
Chunguza Ufunuo 20:12
3
Ufunuo 20:13-14
Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo, nayo mauti na Kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo. Kila mtu akahukumiwa kulingana na yale aliyoyatenda. Kisha mauti na Kuzimu zikatupwa katika ziwa la moto. Hii ndio mauti ya pili, yaani hilo ziwa la moto.
Chunguza Ufunuo 20:13-14
4
Ufunuo 20:11
Kisha nikaona kiti kikubwa cheupe cha enzi pamoja na yeye aliyeketi juu yake. Dunia na mbingu zikaukimbia uso wake wala mahali pao hapakuonekana.
Chunguza Ufunuo 20:11
5
Ufunuo 20:7-8
Hiyo miaka elfu itakapotimia, Shetani atafunguliwa atoke kifungoni mwake, naye atatoka ili kuyadanganya mataifa yaliyopo katika pembe nne za dunia, yaani Gogu na Magogu apate kuwakusanya tayari kwa vita. Idadi yao ni kama mchanga ulioko pwani.
Chunguza Ufunuo 20:7-8
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video