1
Warumi 15:13
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mungu wa tumaini awajaze ninyi furaha yote na amani katika kumwamini, ili mpate kujawa na tumaini tele kwa nguvu ya Roho Mtakatifu wa Mungu.
Linganisha
Chunguza Warumi 15:13
2
Warumi 15:4
Kwa maana kila kitu kilichoandikwa zamani, kiliandikwa kutufundisha, ili kwa saburi na faraja tunayopata katika Maandiko tuwe na tumaini.
Chunguza Warumi 15:4
3
Warumi 15:5-6
Mungu atoaye saburi na faraja awajalie ninyi roho ya umoja miongoni mwenu mnapomfuata Al-Masihi Isa, ili kwa moyo mmoja mpate kumtukuza Mungu aliye Baba wa Bwana wetu Isa Al-Masihi.
Chunguza Warumi 15:5-6
4
Warumi 15:7
Karibishaneni ninyi kwa ninyi kama Al-Masihi alivyowakaribisha ninyi ili kumletea Mungu utukufu.
Chunguza Warumi 15:7
5
Warumi 15:2
Kila mmoja wetu inampasa kumpendeza jirani yake kwa mambo mema, ili kumjenga katika imani.
Chunguza Warumi 15:2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video