1
Kol 1:13
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake
Linganisha
Chunguza Kol 1:13
2
Kol 1:16
Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
Chunguza Kol 1:16
3
Kol 1:17
Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.
Chunguza Kol 1:17
4
Kol 1:15
naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
Chunguza Kol 1:15
5
Kol 1:9-10
Kwa sababu hiyo sisi nasi, tangu siku ile tuliposikia, hatuachi kufanya maombi na dua kwa ajili yenu, ili mjazwe maarifa ya mapenzi yake katika hekima yote na ufahamu wa rohoni; mwenende kama ulivyo wajibu wenu kwa Bwana, mkimpendeza kabisa; mkizaa matunda kwa kila kazi njema, na kuzidi katika maarifa ya Mungu
Chunguza Kol 1:9-10
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video