1
Zab 112:7
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Hataogopa habari mbaya; Moyo wake u imara ukimtumaini BWANA.
Linganisha
Chunguza Zab 112:7
2
Zab 112:1-2
Haleluya. Heri mtu yule amchaye BWANA, Apendezwaye sana na maagizo yake. Wazao wake watakuwa hodari duniani; Kizazi cha wenye adili kitabarikiwa.
Chunguza Zab 112:1-2
3
Zab 112:8
Moyo wake umethibitika hataogopa, Hata awaone watesi wake wameshindwa.
Chunguza Zab 112:8
4
Zab 112:4
Nuru huwazukia wenye adili gizani; Ana fadhili na huruma na haki.
Chunguza Zab 112:4
5
Zab 112:5
Heri atendaye fadhili na kukopesha; Atengenezaye mambo yake kwa haki.
Chunguza Zab 112:5
6
Zab 112:6
Kwa maana hataondoshwa kamwe; Mwenye haki atakumbukwa milele.
Chunguza Zab 112:6
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video