1
Zab 121:1-2
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Linganisha
Chunguza Zab 121:1-2
2
Zab 121:7-8
BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
Chunguza Zab 121:7-8
3
Zab 121:3
Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye
Chunguza Zab 121:3
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video