1
Zab 26:2-3
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Ee BWANA, unijaribu na kunipima; Unisafishe mtima wangu na moyo wangu. Maana fadhili zako zi mbele ya macho yangu, Nami nimekwenda katika kweli yako.
Linganisha
Chunguza Zab 26:2-3
2
Zab 26:1
Ee BWANA, unihukumu mimi, Maana nimekwenda kwa ukamilifu wangu, Nami nimemtumaini BWANA bila wasiwasi.
Chunguza Zab 26:1
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video