1
Zab 28:7
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
BWANA ni nguvu zangu na ngao yangu. Moyo wangu umemtumaini, Nami nimesaidiwa; Basi, moyo wangu unashangilia, Na kwa wimbo wangu nitamshukuru.
Linganisha
Chunguza Zab 28:7
2
Zab 28:8
BWANA ni nguvu za watu wake, Naye ni ngome ya wokovu kwa masihi wake.
Chunguza Zab 28:8
3
Zab 28:6
Na ahimidiwe BWANA. Maana ameisikia sauti ya dua yangu
Chunguza Zab 28:6
4
Zab 28:9
Uwaokoe watu wako, uubariki urithi wako, Uwachunge, uwachukue milele.
Chunguza Zab 28:9
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video