1
1 Samweli 24:5-6
Swahili Revised Union Version
Lakini baadaye, moyo wake Daudi ukamchoma, kwa sababu amekata upindo wa vazi lake Sauli. Akawaambia watu wake, Hasha! Nisimtendee bwana wangu, masihi wa BWANA, neno hili, kuunyosha mkono wangu juu yake, kwa maana yeye ni masihi wa BWANA.
Linganisha
Chunguza 1 Samweli 24:5-6
2
1 Samweli 24:7
Basi Daudi akawazuia watu wake kwa maneno hayo, asiwaruhusu kumshambulia Sauli. Kisha Sauli akatoka pangoni, akaenda zake.
Chunguza 1 Samweli 24:7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video