1
Zaburi 49:20
Swahili Revised Union Version
Mwanadamu mwenye heshima, iwapo hana akili, Amefanana na wanyama wapoteao.
Linganisha
Chunguza Zaburi 49:20
2
Zaburi 49:15
Bali Mungu atanikomboa nafsi yangu, Atanitoa mkononi mwa kuzimu, maana atanipokea.
Chunguza Zaburi 49:15
3
Zaburi 49:16-17
Usiogope mtu atakapopata utajiri, Na fahari ya nyumba yake itakapoongezeka. Maana atakapokufa hatachukua chochote; Utukufu wake hautashuka ukimfuata.
Chunguza Zaburi 49:16-17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video