1
Wimbo ulio Bora 1:2
Swahili Revised Union Version
Kubusu na anibusu kwa kinywa chake. Maana pendo lako lapita divai
Linganisha
Chunguza Wimbo ulio Bora 1:2
2
Wimbo ulio Bora 1:4
Nivute nyuma yako, na tukimbie; Mfalme ameniingiza vyumbani mwake. Tutafurahi na kukushangilia; Tutalinena pendo lako kuliko divai; Ndiyo, ina haki wakupende.
Chunguza Wimbo ulio Bora 1:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video