1
Luka 20:25
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Akawaambia, “Basi mpeni Kaisari vilivyo vya Kaisari, na mpeni Mungu vilivyo vya Mungu.”
Linganisha
Chunguza Luka 20:25
2
Luka 20:17
Lakini Yesu akawakazia macho na akasema, “Hivyo basi, Maandiko haya yanamaanisha nini: ‘Jiwe lililokataliwa na wajenzi, limekuwa jiwe kuu la pembeni?’
Chunguza Luka 20:17
3
Luka 20:46-47
“Iweni waangalifu dhidi ya walimu wa sheria. Wanapenda kutembea wakiwa wamevaa mavazi yanayoonekana ya heshima. Na wanapenda pale watu wanapowasalimu kwa heshima maeneo ya masoko. Wanapenda kukaa sehemu za heshima katika masinagogi na sehemu za watu maarufu katika sherehe. Lakini huwalaghai wajane na kuchukua nyumba zao. Kisha kujionesha kuwa waongofu wa mioyo kuomba sala ndefu. Mungu atawaadhibu kwa hukumu kuu.”
Chunguza Luka 20:46-47
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video