1
Mathayo 11:28
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Njooni kwangu ninyi nyote mliochoka kutokana na mizigo mizito mnayolazimishwa kubeba. Nitawapa pumziko.
Linganisha
Chunguza Mathayo 11:28
2
Mathayo 11:29
Chukueni nira yangu, jifunzeni kutoka kwangu. Mimi ni mwema na mnyenyekevu katika roho. Nanyi mtaweza kupumzika.
Chunguza Mathayo 11:29
3
Mathayo 11:30
Ndiyo, nira yangu ni rahisi. Mzigo ninaowapa muubebe ni mwepesi.”
Chunguza Mathayo 11:30
4
Mathayo 11:27
Baba yangu amenipa kila kitu. Hakuna amjuaye Mwana isipokuwa Baba peke yake. Na hakuna amjuaye Baba isipokuwa Mwana ndiye anayemjua Baba. Na watu pekee watakaomjua Baba ni wale ambao Mwana atachagua kuwaonesha.
Chunguza Mathayo 11:27
5
Mathayo 11:4-5
Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mliyosikia na kuona: Vipofu wanaona. Viwete wanatembea. Watu wenye magonjwa ya ngozi wanaponywa. Wasiyesikia wanasikia. Wafu wanafufuliwa. Na habari njema inahubiriwa kwa maskini.
Chunguza Mathayo 11:4-5
6
Mathayo 11:15
Ninyi watu mnaonisikia, sikilizeni!
Chunguza Mathayo 11:15
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video