1
Luka 24:49
BIBLIA KISWAHILI
Na tazama, nawaletea juu yenu ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini, hadi mvikwe uwezo utokao juu.
Linganisha
Chunguza Luka 24:49
2
Luka 24:6
Hayupo hapa, amefufuka. Kumbukeni alivyosema nanyi alipokuwa bado yuko Galilaya
Chunguza Luka 24:6
3
Luka 24:31-32
Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua; kisha akatoweka mbele yao. Wakaambiana, Je! Mioyo yetu haikuwaka ndani yetu hapo alipokuwa akisema nasi njiani, na kutufunulia Maandiko?
Chunguza Luka 24:31-32
4
Luka 24:46-47
Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu.
Chunguza Luka 24:46-47
5
Luka 24:2-3
Wakalikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi, Wakaingia, wasiuone mwili wa Bwana Yesu.
Chunguza Luka 24:2-3
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video