1
Luka 24:49
Swahili Roehl Bible 1937
Mtaniona mimi, nikituma kwenu kiagio cha Baba yangu! Lakini kaeni tu mjini, mpaka mtakapotiwa nguvu itokayo juu!
Linganisha
Chunguza Luka 24:49
2
Luka 24:6
Hayumo humu, ila amefufuliwa. Kumbukeni, alivyowaambia alipokuwa bado huko Galilea
Chunguza Luka 24:6
3
Luka 24:31-32
Ndipo, macho yao yalipofumbuliwa, wakamtambua. Naye papo hapo alikuwa ametoweka machoni pao. Kisha wakaambiana: Mioyo yetu humu ndani haikuwa ikiwaka moto, aliposema nasi njiani na kutueleza maana ya Maandiko?
Chunguza Luka 24:31-32
4
Luka 24:46-47
Akawaambia: Kwa hivyo vilivyoandikwa imempasa Kristo kuteswa na kufufuka katika wafu siku ya tatu; kisha wao wa mataifa yote watatangaziwa kwa Jina lake, wajute, wapate kuondolewa makosa; hivi vianzie Yerusalemu!
Chunguza Luka 24:46-47
5
Luka 24:2-3
Wakaliona lile jiwe, limekwisha fingirishwa na kutoka kaburini. Walipoingia, hawakuuona mwili wake Bwana Yesu.
Chunguza Luka 24:2-3
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video