1
Matendo 7:59-60
Neno: Maandiko Matakatifu
Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, “Bwana Isa, pokea roho yangu.” Kisha akapiga magoti, akalia kwa sauti kubwa, akasema, “Bwana Isa, usiwahesabie dhambi hii.” Baada ya kusema hayo, akalala.
Linganisha
Chunguza Matendo 7:59-60
2
Matendo 7:49
“ ‘Mbingu ni kiti changu cha enzi, nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. Mtanijengea nyumba ya namna gani? asema Bwana Mwenyezi. Au mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi?
Chunguza Matendo 7:49
3
Matendo 7:57-58
Lakini wao wakapiga kelele kwa sauti kubwa, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja. Wakamtupa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka mavazi yao miguuni mwa kijana mmoja ambaye jina lake aliitwa Sauli.
Chunguza Matendo 7:57-58
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video