1
Yohana 9:4
Neno: Maandiko Matakatifu
Yanipasa kuzifanya kazi zake yeye aliyenituma wakati bado ni mchana, kwa kuwa usiku waja ambapo hakuna mtu awezaye kufanya kazi.
Linganisha
Chunguza Yohana 9:4
2
Yohana 9:5
Wakati niko ulimwenguni, mimi ni nuru ya ulimwengu.”
Chunguza Yohana 9:5
3
Yohana 9:2-3
Wanafunzi wake wakamuuliza, “Mwalimu, ni nani aliyetenda dhambi, ni huyu mtu au wazazi wake hata azaliwe kipofu?” Isa akawajibu, “Huyu mtu wala wazazi wake hawakutenda dhambi. Alizaliwa kipofu ili kazi za Mungu zidhihirishwe katika maisha yake.
Chunguza Yohana 9:2-3
4
Yohana 9:39
Isa akasema, “Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu.”
Chunguza Yohana 9:39
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video