1
Waamuzi 4:4
Biblia Habari Njema
Wakati huo, kulikuwa na nabii mwanamke aliyeitwa Debora, mke wa Lapidothi, aliyekuwa mwamuzi wa Waisraeli wakati huo.
Linganisha
Chunguza Waamuzi 4:4
2
Waamuzi 4:9
Debora akamjibu, “Sawa. Nitakwenda pamoja nawe; lakini hutapata heshima yoyote ya ushindi, maana Mwenyezi-Mungu, atamtia Sisera mikononi mwa mwanamke.” Basi, Debora akafuatana na Baraki kwenda Kedeshi.
Chunguza Waamuzi 4:9
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video