1
Yobu 22:21-22
Biblia Habari Njema
“Sasa, Yobu, kubaliana na Mungu uwe na amani, na hapo mema yatakujia. Pokea mafundisho kutoka kwake; na yaweke maneno yake moyoni mwako.
Linganisha
Chunguza Yobu 22:21-22
2
Yobu 22:27
utamwomba naye atakusikiliza, nawe utazitimiza nadhiri zako.
Chunguza Yobu 22:27
3
Yobu 22:23
Ukimrudia Mungu na kunyenyekea, ukiondoa uovu mbali na makao yako
Chunguza Yobu 22:23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video