1
Mathayo 16:24
Biblia Habari Njema
Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mtu yeyote akitaka kuwa mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.
Linganisha
Chunguza Mathayo 16:24
2
Mathayo 16:18
Nami nakuambia: Wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala nguvu za kifo hazitaweza kulishinda.
Chunguza Mathayo 16:18
3
Mathayo 16:19
Nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni; kila utakachofunga duniani, kitafungwa pia mbinguni; kila utakachofungua duniani, kitafunguliwa pia mbinguni.”
Chunguza Mathayo 16:19
4
Mathayo 16:25
Maana, mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza
Chunguza Mathayo 16:25
5
Mathayo 16:26
lakini mtu anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata. Je, mtu atafaidi nini akiupata utajiri wote wa ulimwengu na hali amepoteza maisha yake? Au, mtu atatoa kitu gani kiwe badala ya maisha yake?
Chunguza Mathayo 16:26
6
Mathayo 16:15-16
Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Simoni Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”
Chunguza Mathayo 16:15-16
7
Mathayo 16:17
Yesu akasema, “Heri wewe Simoni mwana wa Yona, kwa maana hakuna binadamu yeyote aliyekufunulia jambo hili, ila Baba yangu aliye mbinguni.
Chunguza Mathayo 16:17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video