1
Zaburi 71:5
Biblia Habari Njema
Maana wewe Bwana u tumaini langu; tegemeo langu ee Mwenyezi-Mungu, tangu ujana wangu
Linganisha
Chunguza Zaburi 71:5
2
Zaburi 71:3
Uwe mwamba wangu wa kukimbilia usalama, ngome imara ya kuniokoa, kwani wewe ni mwamba na ngome yangu.
Chunguza Zaburi 71:3
3
Zaburi 71:14
Lakini mimi nitakuwa na matumaini daima; tena nitakusifu zaidi na zaidi.
Chunguza Zaburi 71:14
4
Zaburi 71:1
Kwako ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama; kamwe usiniache niaibike!
Chunguza Zaburi 71:1
5
Zaburi 71:8
Kinywa changu kimejaa sifa zako, na utukufu wako mchana kutwa.
Chunguza Zaburi 71:8
6
Zaburi 71:15
Kinywa changu kitatamka matendo yako ya haki, nitatangaza mchana kutwa matendo yako ya wokovu ijapokuwa hayo yanapita akili zangu.
Chunguza Zaburi 71:15
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video