Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 19:19

1 Wafalme 19:19 NEN

Hivyo Eliya akaondoka kutoka huko na kumkuta Elisha mwana wa Shafati. Alikuwa akilima kwa jozi kumi na mbili za maksai, na yeye mwenyewe aliongoza ile jozi ya kumi na mbili. Eliya akapita karibu naye, akamrushia vazi lake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 19:19