Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 19:8

1 Wafalme 19:8 NEN

Kwa hiyo akainuka, akala na kunywa. Akiwa ametiwa nguvu na kile chakula, akasafiri siku arobaini usiku na mchana mpaka akafika Horebu, mlima wa Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 19:8