Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 4:12-13

1 Petro 4:12-13 NEN

Wapenzi, msione ajabu kwa yale mateso yanayotukia miongoni mwenu, kana kwamba ni kitu kigeni kinachowapata. Bali furahini kuwa mnashiriki katika mateso ya Kristo, ili mpate kufurahi zaidi wakati utukufu wake utakapofunuliwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 4:12-13