Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 1:9-10

1 Timotheo 1:9-10 NEN

Lakini tunajua ya kuwa sheria si kwa ajili ya wenye haki, bali kwa ajili ya wavunja sheria na waasi, kwa ajili ya wasiomcha Mungu na wenye dhambi, wasio watakatifu na wanaokufuru; kwa wale wawauao baba zao au mama zao, kwa wauaji, kwa wazinzi na wahanithi, kwa wale wauzao watu, na kwa waongo na waapao kwa uongo, na kwa chochote kingine kilicho kinyume na mafundisho ya kweli

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Timotheo 1:9-10