Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 22:19

2 Wafalme 22:19 NEN

Kwa kuwa moyo wako ulikuwa msikivu na ulijinyenyekeza mbele za BWANA uliposikia kile nilichosema dhidi ya mahali hapa na watu wake, kwamba wangelaaniwa na kuachwa ukiwa, basi kwa sababu uliyararua mavazi yako na kulia mbele zangu, nimekusikia, asema BWANA.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 22:19