Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 1:4-5

Matendo 1:4-5 NEN

Wakati mmoja alipokuwa pamoja nao, aliwapa amri hii, “Msitoke Yerusalemu, bali ingojeni ahadi ya Baba, ambayo mmenisikia nikisema habari zake. Yohana aliwabatiza kwa maji, lakini baada ya siku chache mtabatizwa kwa Roho Mtakatifu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 1:4-5