Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:23-24

Matendo 27:23-24 NEN

Jana usiku, malaika wa Mungu yule ambaye mimi ni wake na ambaye ninamwabudu alisimama karibu nami, naye akasema, ‘Paulo usiogope, kwa kuwa ni lazima usimame mbele ya Kaisari, naye Mungu amekupa kwa neema uhai wa wote wanaosafiri pamoja nawe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 27:23-24