Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 3:16

Matendo 3:16 NEN

Kwa imani katika jina la Yesu, huyu mtu mnayemwona na kumfahamu ametiwa nguvu. Ni kwa jina la Yesu na imani itokayo kwake ambayo imemponya kabisa huyu mtu, kama ninyi wote mnavyoona.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 3:16