Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 10:21-23

Kutoka 10:21-23 NEN

Kisha BWANA akamwambia Mose, “Nyoosha mkono wako kuelekea angani ili giza litande katika nchi ya Misri, giza ambalo watu wanaweza kulipapasa na kulihisi.” Kwa hiyo Mose akaunyoosha mkono wake kuelekea angani, na giza nene likafunika pote katika nchi ya Misri kwa muda wa siku tatu. Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumwona mwenzake, wala kuondoka mahali alipokuwa kwa muda wa siku tatu. Lakini Waisraeli wote walikuwa na mwanga katika maeneo yao waliyokuwa wanaishi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 10:21-23