Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 7:9-10

Kutoka 7:9-10 NEN

“Farao atakapowaambia, ‘Fanyeni muujiza,’ basi mwambie Aroni, ‘Chukua fimbo yako na uitupe chini mbele ya Farao,’ nayo fimbo itakuwa nyoka.” Ndipo Mose na Aroni wakaenda kwa Farao wakafanya sawasawa kama vile BWANA alivyoagiza. Aroni akaitupa ile fimbo yake chini mbele ya Farao na maafisa wake, nayo ikawa nyoka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 7:9-10