Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wagalatia 4:6-7

Wagalatia 4:6-7 NEN

Kwa sababu ninyi ni watoto wa Mungu, Mungu amemtuma Roho wa Mwanawe mioyoni mwetu, anayelia, “Abba, Baba.” Kwa hiyo, wewe si mtumwa tena, bali ni mtoto, kwa kuwa wewe ni mtoto, Mungu amekufanya wewe pia kuwa mrithi kwa kupitia Kristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wagalatia 4:6-7