Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 21:17-18

Mwanzo 21:17-18 NEN

Mungu akamsikia kijana akilia, malaika wa Mungu akamwita Hagari kutoka mbinguni na kumwambia, “Kuna nini Hagari? Usiogope, Mungu amesikia kijana analia akiwa amelala pale. Mwinue kijana na umshike mkono, kwa maana nitamfanya kuwa taifa kubwa.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 21:17-18