Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 11:7

Waebrania 11:7 NEN

Kwa imani, Noa alipoonywa na Mungu kuhusu mambo ambayo hayajaonekana bado, kwa kumcha Mungu alitengeneza safina ili kuokoa jamaa yake. Kwa imani yake aliuhukumu ulimwengu na akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 11:7