Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 3:1-2

Waebrania 3:1-2 NEN

Kwa hiyo ndugu watakatifu, mnaoshiriki mwito wa mbinguni, mtafakarini Yesu, mtume na Kuhani Mkuu wa ukiri wetu. Alikuwa mwaminifu kwa yeye aliyemweka, kama vile Mose alivyokuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 3:1-2