Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 14:9

Hosea 14:9 NEN

Ni nani mwenye hekima? Atayatambua mambo haya. Ni nani mwenye ufahamu? Huyu atayaelewa. Njia za BWANA ni adili; wenye haki huenda katika njia hizo, lakini waasi watajikwaa ndani yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 14:9