Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 4:1

Hosea 4:1 NEN

Sikieni neno la BWANA, enyi Waisraeli, kwa sababu BWANA analo shtaka dhidi yenu ninyi mnaoishi katika nchi: “Hakuna uaminifu, hakuna upendo, hakuna kumjua Mungu katika nchi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 4:1