Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 8:4

Hosea 8:4 NEN

Wanaweka wafalme bila idhini yangu, wamechagua wakuu bila kibali changu. Kwa fedha zao na dhahabu wamejitengenezea sanamu kwa ajili ya maangamizi yao wenyewe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 8:4